TUMSIFU THE GREAT
About Me
- TUMSIFU HARRY KOMBE
- Am a student at SEBASTIAN KOLOWA MEMORIAL UNIVERSITY [SEKOMU], A JOURNALIST AND MANAGING DIRECTOR AT TUMSIFU THE GREAT FILMS, ALSO A GRAPHICS DESIGNER, AUDIO AND VIDEO PRODUCER
HARAKATI
The great akiwa na Mbunge wa Arusha Mjini MH GODBLESS LEMA
CHAT ROOM
Try Relay: the free SMS and picture text app for iPhone.
LABELS
- 2 (1)
- BUSSINESS NEWS (4)
- ENTERTAINMENT GOSSIP (28)
- FILMS (10)
- INTERNATIONAL NEWS (5)
- PICHA UCHI (5)
- SPORTS (2)
- STUDENTS NEWS (11)
- TANZANIA NEWS (41)
- TECHNOLOGY (1)
WASOMAJI
TUMSIFU KOMBE-Junior THK. Powered by Blogger.
KUWA MMOJA WAPO WA WADAU! FOLLOW HERE!!
SOMA HABARI ZILIZOPITA
BEHIND THE SCENE
-
MOVIE SHOOTING
Wakati wa utengenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL -
BACK TO SCHOOL
SHOT IN TANGA TANZANIA -
MUSIC VIDEO
Wakati wa utengenezaji wa music video inakwenda kwa jina la I NEED U -
MOVIE BACK TO SCHOOL
Directed by TUMSIFU KOMBE -
BACK TO SCHOOL
wakati wa utrngenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL -
MOVIE NAME-WIVU
Behind the scene ya upigaji picha wa movie inayoitwa WIVU -
MUSIC VIDEO HERE
Upigaji wa picha wa Music video, msanii anajulikana kwa jina la Rider, wimbo DECEMBER, Shot in Tanga Tanzania -
MOVIE-WIVU HERE
Upigaji picha wa movie inayojulikana kwa jina la WIVU
Showing posts with label STUDENTS NEWS. Show all posts
Showing posts with label STUDENTS NEWS. Show all posts
Saturday, August 17, 2013
Wednesday, August 14, 2013
MWANAFUNZI MOSHI ATEKWA NA KUFANYISHWA NGONO KWA SIKU NNE
MWANAFUNZI wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Marangu
inayomilikiwa na kanisa Katoliki jimbo la Moshi, (jina limehifadhiwa)
alitekwa na kukufungiwa kwenye hoteli moja ya kitalii mjini hapa na
kufanyiwa vitendo vya ngono kwa muda wa siku nne mfululizo.
Mwanafunzi huyo anadaiwa kutekwa Agosti 6 mwaka huu na kijana mmoja
(jina linahifadhiwa) mfanyakazi wa kampuni ya simu za mikononi (Airtel)
mjini Dodoma.
Akizungumza tukio hilo, kaka wa mwanafunzi huyo,
Joseph Temba, alidai mdogo wake alitekwa na mtu huyo na tayari mtuhumiwa
ameshakamatwa.
Alisema walifanikiwa kumkamata mtuhumiwa huyo Agosti 10, mwaka huu,
katika baa moja akiwa na mdogo wake baada ya raia wema kutoa taarifa za
kuonekana kwake.
Kwa mujibu wa kaka wa mwanfunzi huyo siku ya tukio alipokea simu kutoka
kwa mwangalizi wa wanafunzi (matroni) akimjulisha kutokuwapo bwenini kwa
mdogo wake na ndipo walipoanza kufuatilia na kutoa taarifa kituo kikuu
cha polisi mjini Moshi na kupewa namba Mos/RB/9196/2013.
Alisema siku iliyofuata ya Agosti saba jioni walipokea simu kutoka kwa
watu wa karibu wakiwataarifu kuwapo katika hoteli hiyo mdogo wake lakini
baada ya kufika walinyimwa kuona kitabu cha wageni ili kuangalia orodha
ya majina ya wageni waliofikia hapo ili kujiridhisha kama mtuhumiwa
huyo alikuwapo mahali hapo.
Hata hivyo alisema jioni ya Agosti 10
Sunday, June 2, 2013
Friday, May 24, 2013
DENTI CHUO APIGA PICHA CHAFU AKIJIFANANISHA NA RIHANNA
Huyu ni mwanafunzi wa chuo(jina kapuni) aliyehamua kupiga picha ya utupu ili afanane na Rihanna Katika pozi...
Mwanafunzi Huyu ambaye yeye Binafsi anapenda kujifananisha na mwanamuziki asiyeishiwa na skendo Rihanna alifikia uhamuzi wa kujimulika na kamera na hatimaye
Mwanafunzi Huyu ambaye yeye Binafsi anapenda kujifananisha na mwanamuziki asiyeishiwa na skendo Rihanna alifikia uhamuzi wa kujimulika na kamera na hatimaye
Saturday, May 4, 2013
MWANACHUO IFM AUAWA KWA CHAKULA CHA SUMU
Habari toka chuo cha usimamizi wa fedha, IFM- Dar es salaam ni
kwamba mwanafunzi mmoja ambaye
bado hatujafanikiwa kulipata
jina lake amefariki
dunia kwa kulishwa
sumu katika chakula
alicholetewa na mpenzi
wake ambaye ni
mke wa mtu
Taarifa zaidi zinadai
kwamba Mwanafunzi huyo alikuwa na uhusiano wa karibu sana na mke wa mtu
ambaye mbali na
starehe za kimapenzi
alikuwa pia anampekea
chakula cha jioni
Baada ya
mchezo huo kudumu
kwa muda, mume wa mwanamke
aliusoma mchezo mzima
na kuandaa tego
la kuwaangamiza wote.
Thursday, March 21, 2013
WANAFUZI WASHINDA DANGURO, WAFANYA BIASHARA YA UKAHABA
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Majani ya Chai iliyopo Kipawa jijini Dar es Salaam, wametajwa kujiingiza katika kashfa ya ngono, kuvuta na kuuza bangi katika moja ya nyumba zinazozunguka shule hiyo.
Hilo ni tukio lingine jipya, kwani mwishoni mwa mwaka jana, kuliibuka matukio ya ajabu kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi, Ruaruke, Rufiji mkoani Pwani ambao walielezwa kujihusisha na uvutaji bangi hata kukonyeza na kubaka walimu wao.
Mkuu wa Sekondari hiyo, Jasinta Assey alikiri na kusema kwamba vitendo vya uvutaji bangi na biashara ya ukahaba kwa wanafunzi wake, vinachangiwa na
Tuesday, January 8, 2013
KIFO CHA MWANAFUNZI ALIYEFIA HOTELI YA SOUTHERN RESORT CHAZIDI KUWA KITENDAWILI
![]() |
| JACKLINE MUSA MATIKO ENZI ZA UHAI WAKE |
| JENEZA LA MWILI WA MAREHEMU JACKLINE MUSA MATIKO |
Alisema kwa vigezo hivyo ni wazi kwamba mwanaye hakufa maji na amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi wa kina ili kuwabaini waliomuua kikatili binti yake.
Naye mjomba wa marehemu ambaye alikuwa na Jackline kabla ya kifo chake aliyejitambulisha kwa jina moja la Abdul, alisema binti huyo alitoka nyumbani kwa wazazi wake maeneo ya Mazizini Ukonga kwenda Gongo la Mboto kwa bibi yake kusherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya. BONYEZA READ MORE KUPATA TAARIFA KAMILI
Sunday, December 16, 2012
PICHA 200 ZA WELCOME FIRST YEAR- SEBASTIAN KOLOWA MEMORIAL UNIVERSITY ( SEKOMU)
Wednesday, April 4, 2012
Friday, July 1, 2011
MSHINDI MR. INTER-COLLEGE, LUSHOTO, TANGA
Zifuatazo ni picha za pozi mbalimbali mshindi wa mashindano ya kumtafuta mr. intercollege katika vyuo vitatu, ambavyo ni Sebastian kolowa university College,[SekuCO], Chuo cha uongozi wa mahakama IJA, Na chuo cha maendeleo ya jamii lushoto.
Mshindi katika mashindano hayo alikuwa ni EDWIN JOHN, Mwanafunzi wa shahada ya elimu maalum katika chuo kikuu cha Sebastian kolowa university college, lushoto TANGA.
Mshindi katika mashindano hayo alikuwa ni EDWIN JOHN, Mwanafunzi wa shahada ya elimu maalum katika chuo kikuu cha Sebastian kolowa university college, lushoto TANGA.
![]() |
| MR intercollege katika pozi |
![]() |
| Mr intercollege akiwa na mshiriki mwenzake wa kumtafuta Miss intercollege, Elizabeth George, ambaye pia ni mpenzi wake. |
![]() |
| MR intercollege akiwa na mshiriki mwenzake ambaye pia ni mshindi wa tatu katika shindano hilo, Sentongo ROBERT. |
![]() |
| Mshindi namba tatu katika shindano hilo ambaye pia ni mwanafunzi katika chuo kikuu Sebastian kolowa university college, Sentongo ROBERT. |
Thursday, May 26, 2011
LORD EYES ASAKWA KWA KUBAKA. NI DENT WA IFM
RB ya Kituo cha Polisi cha Mabatini, Kijitonyama jijini Dar es Salaam iliyofunguliwa kwa jalada namba KJN/ RB/ 3397 inamsaka mtu anayetajwa kwa jina la Lord Eyez kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM).
Chanzo chetu cha uhakika kimeeleza kuwa, alfajiri ya Jumapili, Mei 22, mwaka huu Lord Eyez anadaiwa kufanya kitendo hicho baada ya kutoka na denti huyo katika ukumbi mmoja wa burudani katikati ya jiji. Awali Lord Eyez alikodi teksi sambamba na msichana huyo (jina lake linahifadhiwa) aliyekuwa akitaka kurudishwa chuoni kwake IFM. Inadaiwa kuwa, Lord Eyez alitaka kuchangia naye kuchukua teksi hiyo ili kila mmoja apelekwe kwenye maskani yake. “Lord Eyez alimghiribu denti yule kuwa angekuwa wa kwanza kupelekwa na teski ile hadi chuoni kwake kisha yeye angekuwa wa mwisho,” kilisema chanzo hicho. Mara baada ya denti huyo kupanda ndani ya teksi, Lord Eyez alimuamrisha dereva kuwapeleka Sinza bila ya kupitia katika Chuo cha IFM kama walivyokubaliana awali.
“Hata yule binti alipokuwa akimhoji dereva kwa nini haanzi kumpeleka chuoni, alimjibu kuwa alikuwa akisikiliza amri kutoka kwa Lord Eyez tu.”
Inadaiwa kuwa, wakati wakiwa katika safari ya kwenda Sinza, njiani Lord Eyez aligombana na msichana huyo hadi kumchana na chupa aliyokuwa akimtishia kumkata nayo.
Hata walipofika Sinza Mori, Lord Eyez alihakikisha anamdhibiti denti yule asiweze kufanya fujo.
“Alimchukua hadi chumbani katika nyumba moja ya wageni (gesti bubu) na hata yule demu alipokuwa akisema kuwa yeye si mpenzi wa Lord Eyes hakuna aliyemuamini kwa jinsi alivyokuwa amevaa,” kilisema chanzo chetu.
Inadaiwa kuwa, Lord Eyez alipoingia chumbani na denti huyo alimfanyia vurugu, akamchania nguo yake ya ndani na kumwingilia kwa nguvu.
Denti huyo alipata upenyo wa kuondoka baada ya Lord Eyez kuzidiwa na kilevi alichokitumia kwa kukisokota na kuchanganya na ungaunga uliomfanya kulewa chakari.

Subscribe to:
Posts (Atom)
RIDER_DECEMBER OFFICIAL VIDEO, VIDEO DIRECTED BY TUMSIFU KOMBE THE GREAT
CHAZ MAVOKO-SONG KWAHERI, Video directed by Tumsifu the great films
wibiya widget
SIKILIZA RADIO KISS FM HAPA
SOMA MAGAZETI HAPA
center>
ADVERTISE HERE
SOMA HABARI MPYA
LIKE PAGE YETU
MEET ME ON FACEBOOK
WEBSITES LINK
HABARI ZILIZOBAMBA
-
W ashiriki wa shindano la Redd's Miss Tanga 2013, linaloandaliwa na kampuni ya DATK Entertainment, ambalo litafanyika Jumamosi wi...
-
Kundi chipukizi toka Moshi Town, Gaza Cross na wimbo wao wa " MASOJA " mahadhi ya Dancehall/Kwaito wakiwakilisha vema muziki wa...
-
Msimu wa utoaji tuzo kwa wasanii wa muziki Tanzania wanaofanya vizuri umewadia huku mchakato wa awali wa mchanganuo wa tuzo hizo za ...
PROUDLY SPONSERED BY
COMMENT HERE.....ACHA UJUMBE HAPA
BLOG MARAFIKI
-
-
-
-
-
-
-
-
Cheka nuna.12 years ago
-
-
-
-
-
-